semina ya mafunzo ya umuhimu wa kupanga vipaumbele na dhana ya mageuzi ya sekta za kiuchumi Tanzania iliyofanyika tarehe 05 na 06 Juni, 2024 Mkoani Arusha.
Picha ya pamoja, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka (aliyekaa katikati), Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida (wa kwanza kulia kwake), Katibu Mkuu Ikulu' Bw. Mululi Majula Mahendeka (wa kwanza kushoto), Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Dkt. Jim James Yonazi, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Bw. Lawrance Mafuru na Katibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wa Wizara mbalimbali mara baada ya semina ya mafunzo ya umuhimu wa kupanga vipaumbele na dhana ya mageuzi ya sekta za kiuchumi Tanzania iliyofanyika tarehe 05 na 06 Juni, 2024 Mkoani Arusha.