Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Dira ni mpango thabiti, jumuishi na wenye maono ya mbali, unaoakisi matarajio ya pamoja na mwelekeo wa kimkakati kwa kipindi cha miaka 25 ijayo, amabayo imejengwa juu ya msingi madhubuti wa utawala bora, amani, usalama.
Wajibu na majukumu ya Tume ya Taifa ya Mipango ni kama ifuatavyo:-
Kutathmini hali ya rasilimali za taifa na kuishauri serikali kuhusu matumizi bora ya rasilimali hizo.
Kuandaa dira ya maendeleo ya taifa, mpango wa maendeleo wa muda mrefu, mpango wa maendeleo wa muda wa kati na mpango wa mae...
Tume ya Taifa ya Mipango (NPC) ilianzishwa mwaka 2023 kwa mujibu wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Mipango, Sura 127. Lengo ni kuwezesha kuratibu mipango ya maendeleo ya Taifa. Tume ya Taifa ya Mipango ipo chini ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji ikiwa ni chombo cha juu cha ushauri kwa Serikali kuhu...
Ni mwongozo wa Tanzania kufikia maono yake ya kuwa nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka 2025