Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Mipango (NPC)

Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 ni nini?

Ni mwongozo wa Tanzania kufikia maono yake ya kuwa nchi ya kipato cha kati ifikapo mwaka 2025