DIRA 2050 ni nini ?
Dira ni mpango thabiti, jumuishi na wenye maono ya mbali, unaoakisi matarajio ya pamoja na mwelekeo wa kimkakati kwa kipindi cha miaka 25 ijayo, amabayo imejengwa juu ya msingi madhubuti wa utawala bora, amani, usalama.