Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Taifa ya Mipango

TAARIFA YA HALI YA UCHUMI KWA MWAKA 2023 NA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA WA MWAKA 2024/25
Matukio mbalimbali katika picha yaliyojiri bungeni mara baada ya kusomwa kwa Taarifa ya Uchumi kwa Mwaka 2023 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2024/25